KATIKA SHAURI LA FBME BANK LIMITED (ILIYO CHINI YA UFILISI) TAARIFA KWA WADAI BODI YA BIMA YA AMANA (Deposit Insurance Board-DIB) ambayo ni Mfilisi wa Benki ya FBME imited inatoa taarifa kwa umma na kwa wadai wote wa benki hiyo kuwa muda wa kuwasilisha madai umeongezwa kwa muda wa miezi miwili kuanzia tarehe 1 Januari Continue Reading