Katika Shauri La Benki Ya FBME Ltd (Iliyo Chini Ya Ufilisi) Fomu Ya Madai FOMU YA MADAI FBME DIB MPYA
KATIKA SHAURI LA FBME BANK LIMITED (ILIYO CHINI YA UFILISI) TAARIFA KWA WADAI BODI YA BIMA YA AMANA (Deposit Insurance Board-DIB) ambayo ni Mfilisi wa Benki ya FBME imited inatoa taarifa kwa umma na kwa wadai wote wa benki hiyo kuwa muda wa kuwasilisha madai umeongezwa kwa muda wa miezi miwili kuanzia tarehe 1 Januari Continue Reading
KATIKA SHAURI LA FBME BANK LTD (ILIYO CHINI YA UFILISI)TAARIFA KWA WADAI BODI YA BIMA YA AMANA (Deposit Insurance Board-DIB) ambayo ni Mfilisi wa Benki ya FBME Ltd inatoa taarifa kwa umma na kwa wadai wote wa benki hiyo kama ifuatavyo: (a) Wadai wa Tanzania wenye amana (local depositors) zaidi ya shilingi milioni moja na Continue Reading
BODI YA BIMA YA AMANA TAARIFA KWA WADAI – INARUDIWA KATIKA SHAURI LA UFILISI WA BENKI ZA GREENLAND BANK (T) LIMITED NA DELPHIS BANK (T) LIMITED ZILIZO CHINI YA UFILISI WA BODI YA BIMA YA AMANA Kwa muda mrefu Bodi ya Bima ya Amana imekuwa ikiendelea na ufilisi wa Greenland Bank (T) Limited na Delphis Continue Reading